East Africa Radio (@earadiofm )

East Africa RadioBio Together Tunawakilisha
Location East Africa
Tweets 92,4K
Followers 251,7K
Following 10
Account created 08-10-2011 06:27:04
ID 386954529


TweetDeck : KIPENGA (saa 2:00 - 3:00 usiku)

Ni kwa asilimia ngapi mashabiki na wapenzi wa soka Tanzania, wamekuwa kikwazo katika maendeleo ya soka hapa nchini?

(a) 50
(b) 100

#KIPENGA

TweetDeck : EAST AFRICA DRIVE

USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU

Mmoja wa machifu wa nchini Nigeria Sam Igbe amewataka machifu wenzie kuacha kufanya usafirishaji haramu wa binadamu kwa njia ya juju (kwa njia uchawi)

Je, wewe unaamini unaweza ukasafiri kwa njia ya juju? #EADRIVE

TweetDeck : #TANZIA: Malkia wa muziki wa aina ya soul, Aretha Franklin kutoka nchini Marekani amefariki dunia hii leo akiwa na umri wa miaka 76. Aretha atakumbukwa kwa umahiri wake wa kucheza na sauti pamoja na piano. R.I.P Aretha Franklin.

TweetDeck : EAST AFRICA DRIVE (saa 10:00 jioni - 2:00 usiku)

WIZI WA SIMU

Je, unajua hatua za kufuata pindi unapoibiwa simu yako?

'Sikiliza East Africa Drive Ndinga Mpya Town kwa elimu zaidi. #EADRIVE

TweetDeck : PLANET BONGO (Saa 7:00 mchana - 10:00 jioni)

Kungekuwa na deal la msanii mmoja wa bongofleva kwenda kutoa hamasa kuhusu Ukimwi, ungemchagua nani na kwanini?

#PLANETBONGO

TweetDeck : Usikose kuangalia live kipindi maalumu kutoka ukumbi wa TAYOA, leo Alhamisi ya Agosti 16, 2018, kuanzia saa 9:00 mchana. Mada Kuu ni Vijana na Ukimwi.

TweetDeck : PLANET BONGO (Saa 7:00 mchana - 10:00 jioni)

HOTUBA YA RAIS YAZAA NGOMA.

Ferooz amesema kilichomsukuma kuandika wimbo wake 'starehe' ni hotuba ya rais wakati huo kuhusu Ukimwi.

Unakumbuka nini ukiisikia hii ngoma ya Ferooz?

#PLANETBONGO

TweetDeck : Usikose Jumamosi hii Agosti 18, 2018 kwenye uwanja wa Taifa wa ndani kuanzia saa 10:00 Jioni #SpriteBballKings

  • Start Video

TweetDeck : KIPENGA XTRA (saa 6:00 mchana - 7:00 mchana)

Ni kweli kuotokuwepo kwa Cristiano Ronaldo ni sababu ya Real Madrid kupoteza mchezo wa Uefa Super Cup?

#KIPENGAXTRA

TweetDeck : Unahisi nani atasepa na milioni 10 mwaka huu?. Usikose Jumamosi hii Agosti 18, 2018, game 1 kupigwa uwanja wa Taifa wa ndani kuanzia saa 10:00 jioni. #SpriteBballKings

TweetDeck : SUPAMIX

TAKWIMU ZA VVU KWA VIJANA

Takwimu zinabainisha kwamba takribani watu elfu 81 huambukizwa VVU kwa mwaka, ambapo kwa mwezi ni watu 6750 na kwa siku ni watu 220 na kati yao asilimia 80 ni vijana

Je ni wapi tunapokosea kama jamii

Sikiliza Supamix kwa elimu zaidi #SUPAMIX